Nabii Isa (SAW) anaponya: kwa Neno la Mamlaka
Surah ‘Abasa (Surah 80 – Alikunja Kikunjo) inaandika Mtume Muhammad (SAW) alikutana na kipofu. Alikunja kipaji na akageuka, Kwa sababu alimjia kipofu! Na nini kitakujuulisha pengine yeye atatakasika? (Surah ‘Abasa 80:1-3) Ingawa kulikuwa na fursa… Nabii Isa (SAW) anaponya: kwa Neno la Mamlaka