Siku ya 6 – Isa al Masih na Ijumaa Kuu
Sura ya 62 (Mkusanyiko, Ijumaa – Surah Al-Jumu’ah) inatuambia kuwa siku ya sala kwa Waislamu ni Ijumaa. Lakini Surah al-Jumu’ah kwanza inatoa changamoto – ambayo Nabii Isa (SAW) aliikubali katika nafasi yake kama Masih. Al-Jumu’ah, kabla… Siku ya 6 – Isa al Masih na Ijumaa Kuu