Nani alikuwa ‘Roho wa Haki’ ambaye Isa (a.s.) aliahidi katika Injil
Kabla tu ya kukamatwa na kuhukumiwa, nabii Isa al Masih (pbuh) alifanya mazungumzo marefu na wanafunzi wake ambayo yameandikwa katika Injili ya Yohana. Yohana alikuwa mmoja wa wanafunzi wake 12 na alikuwepo kwenye hotuba hii… Nani alikuwa ‘Roho wa Haki’ ambaye Isa (a.s.) aliahidi katika Injil