Isa al Masih anatangaza Jihad – kwa njia ya kushangaza, kwa adui tofauti, kwa wakati halisi
Surah At-Tawbah (Sura ya 9 – Toba, Ugawaji) inaleta mjadala kwa vile inazungumzia Jihad, au kujitahidi. Aayah inatoa muongozo kwa ajili ya vita vya kimwili kwa hiyo kuna tafsiri tofauti za wanachuoni mbalimbali. Aya za… Isa al Masih anatangaza Jihad – kwa njia ya kushangaza, kwa adui tofauti, kwa wakati halisi