Nabii Isa al Masih (S.A.W) anatoa rehema
Je, umewahi kuvunja amri katika sharia? Hakuna hata mmoja wetu anayetaka kufanya hivi, lakini ukweli ni kwamba wengi wetu tunaficha kushindwa kwetu, tukitumaini kwamba wengine hawatagundua dhambi zetu na kufichua aibu yetu. Lakini vipi ikiwa… Nabii Isa al Masih (S.A.W) anatoa rehema