Isa al Masih (PBUH) anafundisha juu ya … kuingia peponi
Surah Al-Kahf (Sura ya 18 – Pango) inatangaza kwamba wale wenye ‘amali njema’ wataingia Peponi: Hakika wale walio amini na wakatenda mema mashukio yao yatakuwa kwenye Pepo za Firdausi. (Surah Al-Kahf 18:107) Kwa hakika, Surah… Isa al Masih (PBUH) anafundisha juu ya … kuingia peponi