Masih anafundisha juu ya Usafi wa Ndani
Je, kuna umuhimu gani kuwa msafi? Surah An-Nisa (Sura ya 4 – Wanawake) inaeleza Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba – isipo kuwa mmo safarini –… Masih anafundisha juu ya Usafi wa Ndani