Ujumbe wa Isa al Masih katika Kumfufua Lazaro
Surah ad-Dukhan (Surah 44 – Moshi) inatuambia kwamba kabila la Maquraishi lilikataa ujumbe wa Mtume Muhammad (SAW) kwa kumpa changamoto ifuatayo: Hakika hawa wanasema: Hapana ila kufa kwetu mara ya kwanza tu, wala sisi hatufufuliwi.… Ujumbe wa Isa al Masih katika Kumfufua Lazaro