Neno la Mamlaka ya Nabii Isa al Masih (PBUH) juu ya Maumbile
Surah Adh-Dhariyat (Sura ya 51 – Pepo zinazopepeta) inaeleza jinsi Nabii Musa alitumwa kwa Firauni. Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi. (Surah Adh-Dhariyat 51:38) Nabii Musa alidhihirisha au alionyesha mamlaka… Neno la Mamlaka ya Nabii Isa al Masih (PBUH) juu ya Maumbile