Masih Aliyefichuliwa – kwa Kufundisha kwa Mamlaka
Surah Al-‘Alaq (Sura ya 96 – Tani) inatuambia kuwa Mwenyezi Mungu anatufundisha mambo mapya ambayo tulikuwa hatuyajui kabla. Ambaye amefundisha kwa kalamu. Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui. (Surah al-Alaq 96:4-5) Surah Ar-Rum (Sura 30 –… Masih Aliyefichuliwa – kwa Kufundisha kwa Mamlaka