Injil Imeharibika! Je, Hadithi zinasemaje?
Tumeona inavyosema Qur-aans kwamba Taurati, Zabur & Injil za Biblia (al kitab) hazijaharibika. Qur’an inaeleza kwa uwazi kwamba wafuasi wa Injil bado mwenye ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu wakati wa Mtume Muhammad (SAW), karibu 600 AD – kwa… Injil Imeharibika! Je, Hadithi zinasemaje?