Isa al Masih (S.A.W) anafundisha – kwa Mafumbo
Tuliona jinsi Isa al Masih (SAW) alivyofundisha mamlaka ya kipekee. Pia alifundisha kwa kutumia hadithi zilizoonyesha kanuni za kweli. Kwa mfano, tuliona jinsi alivyofundisha kuhusu Ufalme wa Mungu akitumia kitabu hadithi ya Karamu Kubwa, na kuhusu msamaha… Isa al Masih (S.A.W) anafundisha – kwa Mafumbo