Isa al Masih anafundisha juu ya kusamehe
Surah Ghafir (Sura ya 40 – Mwenye kusamehe) inafundisha kwamba Mwenyezi Mungu husamehe. Anaye samehe dhambi na anaye pokea toba, Mkali wa kuadhibu, Mwenye ukarimu, hakuna mungu ila Yeye; marejeo ni kwake. Wale wanao beba… Isa al Masih anafundisha juu ya kusamehe