Kwa nini kuna masimulizi manne ya Injili kwa Injil moja?
Wakati fulani mimi huulizwa kama kuna Injil moja tu kwa nini kuna vitabu vinne vya Injili katika al Kitab (Biblia), kila kimoja kimeandikwa na mwandishi tofauti wa kibinadamu? Je! hilo halitawafanya wawe ni watu wenye… Kwa nini kuna masimulizi manne ya Injili kwa Injil moja?