Siku: Al-Qariah na At-Takathur na Masih
Surah Al-Qariah (Sura ya 101 – Msiba) inaelezea Siku ya Hukumu inayokuja hivi: Nini Inayo gonga? Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga? Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; Na milima itakuwa kama… Siku: Al-Qariah na At-Takathur na Masih