Siku: Al-Masad na Al-Hadid na Masih
Surah Al-Masad (Surah 111 – The Palm Fibre) inaonya juu ya Hukumu yenye Moto Siku ya Mwisho. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. Atauingia Moto wenye… Siku: Al-Masad na Al-Hadid na Masih