Usiku wa Nguvu, Siku ya Utukufu na Neno la Manabii
Surah Al-Qadr (Surah 97 – The Power) inaelezea Usiku wa Nguvu wakati Qur’an ilipoteremshwa kwa mara ya kwanza. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur’ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu. Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul… Usiku wa Nguvu, Siku ya Utukufu na Neno la Manabii